Uzuwilah Enterprises (UE) Ni Kampuni Ndogo Inayochipukia Ambayo Inatoa Huduma Ya Mavazi Na Mapambo Ya Mwili Kama Vile Vitenge Vya Java, Vikoi Vya Vitenge, Viatu Vya Kike. Aidha Kampuni Bado Inaendelea Kukua Na Kutangaza Bidha Zake Nyingine Hivi Karibuni.
Tafadhali, Tunaomba Kupokea Maoini Kutoka Kwako Kwa Ajili Ya Koboresha Huduma Zetu. Endelea Kutembelea Blog Yetu Mara Kwa Mara Kwa Ajili Ya Kupata Bidhaaa Mpya.
Asante Kwa Kutembelea Ukurasa Wetu.
Karibu Tena.
Comments