1. Biashara iwe halali ambayo inaweza kufanyika sehemu yoyote 2. Anaepaswa kutangaza biashara ni yule mmiliki halali wa biashara hiyo. 3. Biashara yako iwe na uwezo wa kumshawishi mteja kutoka sehemu nyingine na kuifuata ilipo au wewe kumfuata mteja pasipo usumbufu. 4.Unatakiwa uwe na pcha nzuri zisizopongua 3 za bidhaa/huduma yako zenye mwenyekano tofauti 5 .Uwe na namba za simu 2 znazopatikana angalau masaa 18 kwa siku. 6. Unatakiwa kushare tangazo la biashara yako kutoka lilipotangazwa mitandaoni na kuweka kwenye mtandao wako binafsi wa kijamii kama unatumia (kipengele hiki siyo lazima) Asante. Imeandaliwa Na; YUSUPH UZUWILAH C.E.O UZUWILAH ENTERPRISES
KWA VIKOI, VITENGE NA VIATU VYA KIKE VYENYE UBORA KWA BEI INAYOSTAHILI. (QUALITY FIRST PROFIT NEXT)
Comments